VIDEO: ISHU YA MANYAMA KUSAINI SIMBA RUVU SHOOTING YABAINISHA UKWELI
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa suala la mchezaji wao Edward Manyama kudaiwa kuwa amesaini ndani ya Klabu ya Simba miaka miwili hizo ni tetesi kwa kuwa mchezaji huyo bado ni mali yao na hajasaini popote.
Masau tulia kijana kapara ulaji. Hapo Ruvi shooting mshahara wake wa mwaka simba anaupata kwa mwezi mmoja tuu. Maisha yenyewe haya mafupi acha aende. Nendeni mtwara kuna umishumita na umeseta mtapata wachezaji wazuri na bei poa.
ReplyDelete