July 20, 2021

 


KUELEKEA kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba v Yanga tayari mashabiki washajua viingilio kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Ni 10, 000, (buku kumi) kwa mzunguko huku eneo ambalo limepewa jina la Urusi kiingilio chao pale ni 15,000, (buku kumi na tano).

Kwa upande wa VIP B ni 20,000, (Buku 20 pekee) na ile VIP A ikiwa ni 30,000, (Buku 30).

Fainali hiyo itachezwa majira ya saa 10:00 jioni na mabingwa watetezi wa taji hilo ni Simba ambao walitwaa taji hilo kwa kucheza mchezo wa fainali na Namungo msimu uliopita.

7 COMMENTS:

  1. Hv Kwani kwenye Library yenu picha zote Ni washambuliaji wa Simba wakiwa na Beki za Yanga , Angalia picha zote mnazoweka Simba vs Yanga by also kwa mujibu wa Takwimu kwa mechi hasa mbili Kama siyo tatu zilizochezwa msimu huu Simba yupo mbele possession bt matukio hatari na yenye mlengo wa Ushindi Yanga Ana kuwa mbele eg corners, Short on target Kama picha hiyo hapo juu short on target Simba zero,bt walipata header ya Bocco na Onyango nazo zikipigwa baada ya Lamine kuwa ameumia;;;;;

    ReplyDelete
    Replies
    1. Timu bora zaidi lazima ipwewe heshima yake

      Delete
    2. Kwan lamine ndo ana maajabu gan?tunaelekea fa lete takwimu za fa... Kwenye zile 4-1 mbona alikwepo au unajisahaulisha

      Delete
  2. Kikosi chenye defence ya chuma na washambuliaji washambuliaji wanaohujumu kama nyuki wanaoona lango kirahisi hao ndio wataoondoka na kombe

    ReplyDelete
  3. Ile ya 4-1 mlisaidiwa na Tshishimbi,Makame na Molinga alikuwa Ana haha Fei tu tunajua Janja yenu tuna majabali mengi mnafa tu hapa hakuna KMC,AZAM, BIASHARA,NAMUNGO,MBEYA CITY,IHEFU,COASTAL Na GWAMBINA,hizi Ni Timu ambazo mmefunga magoli mengi bila kusahau JKT Tanzania na hizi zote ukizikamata mna member wenu ,AZAM wameanza kubasilika baada ya kupata Kocha aliye wahi pita kwetu wanawachezea Mpira wa kiume mnabaki kusaidiwa na marefa eg SASI juzi na yule kwenye mstari wa 18 anashangilia uhuni mliofanya,na Ni Refa eti ,anataka nembo ya FIFA,kumbe chips za mafuta ya Transformer zimemkolea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haya mawazo ya kijinga yatafanya mgombanie nafasi ya pili kila msimu Kama mnabisha endeleeni kuamini hivyo hivyo

      Delete
  4. Sawa kwako mwelewa ndiyo maana umekalili kwani Chelsea ya nne mbona kamnyoa Man City FA final,Carabao,Ligi na UEFA,hii Ligi ya ndani zingatia uswahiba na uswahili Kama ulivyo Uchaguzi wa TFF umekubeba

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic