IMEELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Yanga Heritier Makambo anaweza kuibukia ndani ya Yanga baada ya kuibuka ndani ya Klabu ya Horoya msimu wa 2019.
Inatajwa kuwa nyota wawili wataachwa katika kikosi cha Yanga ambao ni Michael Sarpong na Fiston Abdulazack kumpisha Makambo ambaye amefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wake ndani ya timu hiyo ya Guinea.
Jembe linakuja sasa simba mtatutambua
ReplyDeleteAnakuja kucheza na simba tuu?
ReplyDeleteKucheza na kuchana nyavu haombi Penalties
ReplyDeleteYanga wamekuwa wakivutiwa na uwezo wa Makambo wa miaka ile alipokuwa kijana ambao wanatosheka nao lakini kwanini huko alipo hivi sasa hakuwa anapata nafasi yeyote ya kucheza huenda Mzee Mpili kaahidi kuweka sawa kila kitu
ReplyDeleteUsistaajabu ukisikia Mfaransa Paul Pogba anatuwa yanga pamoja na Makambo
ReplyDeleteKwani sialikuwa yanga before kipi alifanya hata ubingwa hakuwapa aje atakutana na mtu nusu mtu chuma babu ubaya ONYANGO
ReplyDelete