SIMULIZI ya aliyeweza kurejesha mahusiano yake
Ndoa ama mahusiano yoyote bila ya mapenzi huwa hayaendi mbali kwani mapenzi huwa kiini cha umoja na mshikamano katika ndoa. Wapenzi kwenye mahusiano hupaswa kuwajibika na kuelewana kwa wakati wowote ili kuwezesha mahusiano kuwa yenye matamanio.
Tulikuwa tumefunga ndoa na mume wangu ambapo mwaka mmoja ulikuwa umepita sasa tangu kufanya harusi. Ama kwa hakika maisha yalikuwa mazuri kwani Ben ambaye ndiye mume wangu alikuwa mwenye mapenzi na mtu ambaye alikuwa mchangamfu katika kila hali.
Katika siku zetu za kuchumbiana alikuwa ni mtu ambaye alikuwa na maepnzi si haba. Maneno matamu aliyoniambia yalikuwa ama kwa hakika yananizingua pakubwa.
Mimi nami sikuachwa nyuma kwani kila ushikwapo shikamana. Nilimwonyesha mapenzi kama vile kumvisha mavazi na hata wakati mwingine tulienda bafuni kukoga kwa pamoja.
Hali hii ilianza kubadilika ambapo mume wangu alianza polepole kuwa mwenye dharau nisijue ni lipi ambalo sikufanya kwa matumaini yake. Kando na hapo awali, alianza kuja nyumbani akiwa amenuna na hata wakati mwingine ilinichukua muda kuweza kumwelewa.
Kila wakati alifika nyumbani na kujitupa kwenye kochi bila hata ya kuzungumza chochote jambo lililonitia wasiwasi kama mke. Akilini nilijiambia labda alikuwa keshapata mrembo mwingine ambaye alikuwa ndiye mpango wa kando.
Lakini ni vipi mpango wa kando wake alikuwa na mapenzi kuliko mimi ambaye nilimwelewa mume wangu? Nilifanya uchunguzi wala sikubaini chochote ambacho mume wangu alikuwa akikasirikia kila mara.
Pesa alikuwa nazo nami pia nilimsaidia kumkimu majukumu kadhaa ya nyumbani kwani nilikuwa na kazi wakati ule. Kila nilipotaka mazungumzo naye alikataa na kusema kwamba kila kitu kilikuwa sawa na hakuna jambo lolote lilikuwa limeharibika.
Hapo awali nilimsindikiza kila alipoenda kazini lakini wakati huu alisema kuwa angeenda mwenyewe wala hakutaka usaidizi wangu.
Siku zilienda akiwa bado amenuna na sikuwa tayari kuishi katika ndoa ile. Nilimwambia rafiki yangu Agy jambo lile na hapo akanieleza kwamba angeweza kunisaidia katika hali yoyote ile.
Alinielekeza kwa daktari Kiwanga kwani yeye pia alikuwa kakumbana na shida kama ile lakini daktari Kiwanga aliimaliza. Nilipigia daktari Kiwanga simu na wiki iliyofuatia nilikuwa katika ofisi zake mjini Kericho. Alinipa wosia na hapo akanipa hakikisho kila kitu kilikuwa mikononi mwake na kwamba hali ingerudi kuwa shwari kabisa.
Nilirejea nyumbani na kwa kweli baada ya siku tatu mume wangu alikuwa ameshabadilika. Mara gii alikuwa mchangamfu na mwenye furaha kila wakati.
Nilijiambia kuwa kumbe daktari Kiwanga alikuwa amemaanisha maneno yake. Hali ya uchangamfu ilirejea kwenye familia yetu kwa mara nyingine. Kando na hapo awali na tulipokuwa tunafanya tendo la ndoa kwa siku moja kwa wiki, kila siku tulikuwa tukishiriki.
Ama kwa hakika daktari Kiwanga alikuwa ni mtu wa kuweza kutatua shida za watu. Tangu siku ile, mume wangu alikuwa mwenye furaha hata zaidi. Tuliishi maisha ya amani na yenye furaha.
Daktari Kiwanga anatibu magonjwa ya zinaa kama vile Kisonono,Kaswendee na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Ana uwezo wa kukuwezesha kupata kazi yako ambayo umekuwa ukiitamania kwa muda mrefu.
Ni mtu ambaye amebobea katika suala zima la tiba za kiasilia. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965 .
0 COMMENTS:
Post a Comment